Search in the website:

HUGUES BANA

Masterland auvisha muziki wa Buja fleva taji mpya.

8 janvier 2017

Mwanamuziki kutoka nchini Burundi anayetambulika kwa jina la Masterland ameuvisha taji mpya¬†muziki wa Buja fleva masaa machache tu baada ya kuachia wimbo wake mpya ambao umeambatana na video kwa pamoja. Baada ya kuwa amewaahidi mashabiki na wanaofuatilia sana muziki wa nyumbani kwa kipindi cha mwezi mmoja kuwa ataachia wimbo huo,tayari sasa amaeikamilisha ahadi yake. Video […]

Read More

Share
Share