HAPPTY FAMBA ameachia kibao chake kingine baada ya kujijengea headlines kubwa kwa kazi yake ya WHY ME?
Sasa amerudi kwa kishindo kingine ambacho kimepewa jina la MY TIME.
Kuwa mtu wa kwanza kukipakua na kukisikiliza bila shida yeyote.
Usisahau kushare na wengine kama kawaida yetu.

  • 4
    Shares