Mitandaoni leo imekuwa poa sana baada ya wana NGM kusema kwamba mitandaoni siyo poa,ila yote tisa leo ni poa.

Baada ya masaa kama manne wimbo WANGU BY NATACHA FEAT. SHEBBAH kuachiwa rasmi na kuwekwa kwenye CHANNEL YA YOUTUBE YA NATACHA BURUNDI,zimeamka comments nyingi kibao za mashabiki zaidi wakionyesha kuikubali kazi hiyo.

Sikiliza na Soma hapa chini baadhi ya comments ambazo zipo kwenye channel yake ya YOUTUBE.
NATACHA SHEBBAH

Endelea kupakua na kusikiliza wimbo huo hapa kama kawaida yetu usisahau kushare na wengine.

Play
  • 65
    Shares