Swahili media Vestine ajinyakulia ISANGANIRO AWARD awamu ya 6
Hili limekuwa kama ndoto isiyotimia kwa waimbaji wa kike nchini Burundi.Sasa siyo ndoto tena,Mwanamuziki wa kike mwenye miondoko ya nyimbo za injili ,anayetambulika kwa wengi kama vestine amejinyakulia tunzo nzima la ISANGANIRO AWARD ikiwa ni awamu ya sita yaanai 6TH EDITION.

Swahili media Vestine ajinyakulia ISANGANIRO AWARD awamu ya 6
LEE MARVIN ARAKAZA Mwandishi wa habari ambae amemuwakilisha VESTINE

Mwanamuziki huyo amebeba tunzo hilo kwa ushindi wa wimbo wake uliopewa jina la VUGA,zaidi akiwaacha mbali wasanii wenzake ambao walikuwa nae kwenye kinyanganyilo hicho.

Sikiliza wimbo wake ambao umeshika nafasi ya kwanza.Usisahau kushare na wengine kama kawaida yetu.

Favicon Swahili media Vestine ajinyakulia ISANGANIRO AWARD awamu ya 6