Swahili media Sheebah Karungi amtimizia Ahadi NATACHA TODAY UPDATE
ALBUM COVER

Baada ya ile ahadi kubwa SHEEBAH KARUNGI mwanamuziki kutoka UGANDA aliyoiweka kwake NATACHA LA NAMBA kupitia wimbo wao uliowakutanisha wakali hao wa kibao cha WANGU.Sasa siyo stori tena.
Ahadi ambayo SHEEBAH KARUNGI aliiweka kwa NATACHA ni ahadi ya kuweka wimbo wao uliowakutanisha wawili hao kwenye ALBUM yake ambayo anatarajia kuiachia hivi karibuni TAREHE 21 DISEMBA,2017 ambapo ALBUM yake SHEEBAH ambayo imepewa jina la KARMA QUEEN itakuwa imeingia sokoni kwenye mauzo,Wimbo wa WANGU na wenyewe umeonekana kuwa miongoni ya NGOMA ambazo zitawakilisha Album hiyo.
Swahili media Sheebah Karungi amtimizia Ahadi NATACHA TODAY UPDATE
Ngoma hiyo itatolea kama Zawaidi (BONUS TRACK) kwa mashabiki na watu ambao watanunua ALBUM hiyo.

Hii ni kuonyesha ushirikiana na upendo wa dhati ulioko kati ya wawili hao.
Endelea kuitazama video ya WANGU hapa hapa.Usisahau kushare na wengine kama kawaida yetu.

Favicon Swahili media Sheebah Karungi amtimizia Ahadi NATACHA TODAY UPDATE