Swahili media Ingoma z rsquo iwacu by B FACE feat NKUND rsquo ABANTU Download mp3
RAPPER B FACE kutoka nchini Burundi ameachia wimbo wake mpya INGOMA Z’IWACU akiwashilikisha NKUND’ABANTU baada ya SIPENDI UJINGA.Wimbo huo ambao umeanza kuleta gumzo kila sehemu baada ya kuachiwa umetengenezwa na AMIR PRO KUTOKA IKOH MUSIC.
Sikiliza na pakua wimbo huo hapa bila chenga zozote.Usisahau kushare na wengine kama kawaida yetu.

Favicon Swahili media Ingoma z rsquo iwacu by B FACE feat NKUND rsquo ABANTU Download mp3