Tayari rapper anayetambulika kwa jina la B FACE a.k.a N THE FLO’ kama anavyojiita ameachia video mpya ya wimbo wake ambao unabeba jina la SISOMEKI huku akiwa amemshirikisha mwanamuziki anayefanya vizuri kwenye game la BUJA FLEVA DOUBLE JAY toka pande za GITEGA.

Video hiyo ambayo baada ya kutoka imeashaanza kuonyesha ubora wake huku watazamaji wakiachia maoni yao na kuisifia zaidi.

nikukumbushe kuwa Video hiyo imetengenezwa na mkono wake P AMEDE toka studio za RPS(RAMA STUDIO PRODUCTION)

Tazama video hiyo  hapa bila chenga zozote.

Favicon SISOMEKI by B Face feat Double Jay official video I mp4