Sikiliza jinsi gani baadhi ya Wasanii kutoka Burundi walivyosherekea siku kuu ya wapendanao
Jana tarehe kumi na nne mwezi februari dipo ulimwengu mzima ulisherekea siku kuu ya wapendanao.
kutepitia tembea tembea zetu tulikutana na baadahi ya wasanii kwenye show mbali mbali ambazo zilikuwa zimeandaliwa.
Sikiliza jinsi gani baadhi ya Wasanii kutoka Burundi walivyosherekea siku kuu ya wapendanao
Sherehe hiyo inayoonekana kuadimishawa sana na vijana tofauti na maana yake ilionekana kuwa yenye furaha kubwa na changamoto kwa baaadhi ya wasanii nchini Burundi.
Sikiliza interview tuliofanya na baadhi yao.

Favicon Sikiliza jinsi gani baadhi ya Wasanii kutoka Burundi walivyosherekea siku kuu ya wapendanao