Watu wengi wana sema eti Platnumz ana shindwa kutunga nyimbo zake ndo maana ana imba nyimbo za wasani wengine. Aliye imba wimbo -Salome ambao Platnumz ali imba kwa ki vyake ana tupatia onyo lake kuusu wimbo huo.

Sikiliza anavyo ongea na usi kose ku share na ku comenti video hii.