PICHAMGANDA Shirika la waganga wa kujitegemea laomba mashirika mengine ya kiutu kushurulikia wakaazi wa mashiriki mwa drc

Shirika la waganga wa kujitegemea laomba mashirika mengine ya kiutu kushurulikia wakaazi wa mashiriki mwa drc.

Kupitia taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari mnamo Jumanne, Disemba 17, 2019, nakala ambayo ili asilishwa kwa wenzetu wa  7SUR7.CD,Shirika la waganga wasiokuwa na mipaka (MSF) lanaarifu kuhusu ukosefu wa haki za msingi inayo kumba waakazi mashariki mwa nchi ya jemhuri ya kidemokrasia ya congo na kutolea wito mashirika zingine za kiutu kushurulikia swala hilo.

 « Licha ya kukosekana kwa mashirika za kuwa saidia wakaazi hao,tuna wasaidia kwa miezi kadhaa kimatibabu ila katika maeneo ambayo wanakabiliwa na uhaba wa maji na matatizo ya ki afya.

Kwa sasa tume pungukiwa,tuko inje ya uwezo wetu.Tunaomba masharika mengine kujihimiza kushurulikia watu hao asema Karel Janssens wa shirika la waganga wa kujitegemea.

Tarafa la Walikale,Masisi na Rutshuru ni shamba la mapigano,na imefanya yapata watu 680 000 kukosa makaazi na wengine hupata matibabu kwa shida.

Raia wengi huacha vijiji vyao na kutafuta hifadhi katika vijiji jirani kutokana na vita ya kila mara inayo sababishwa na makundi yenye kumiliki silaha mashariki mwa drc.

Chumba cha habari/

swahili media.

Favicon Shirika la waganga wa kujitegemea laomba mashirika mengine ya kiutu kushurulikia wakaazi wa mashiriki mwa drc