Lengo ya kutengeneza kiwanja cha ndege cha kimataifa Bugesera  ni juu  ya  kuongeza uwezo wa kukaribisha  wasafiri inchini  Rwanda ambao wana toka sehemu mbali mbali za  Dunia .
Taarifa hii imetolewa na Manuel Antonio Mota, Meneja Mkuu wa Afrika wa Mota-Engil, wakati wa mkutano wa waandishi wa habari uliofanyika Kigali tarehe 1 Septemba 2016. Kazi hiyo ita chukuwa dola 818 millioni na kiwanja kita kuwa na uwezo wa kupokeya watu 4.5 millioni kwa mwaka.

Favicon Rwanda Portugal Mota Engil itajenga kiwanja cha ndege cha Bugesera kwa dola milioni 818