Rapper marufu nchini Burundi atambulika kama LAVISTA ametowa song yake inzayozidi kutambaa vyema kwenye jami nakuweza kuzidi kujiongezea mashabiki.

LAVISTA kutoka kwenye kundi la WAKAVU ameweza kutufahamisha kuwa ninyimbo alikuwa namda anafikiria sana kwamana mashabiki wake walikuwa wanataka vitu kamahivyo. Rapper of the year imesikaka sana ikawaacha watu namaswali mengi wakifiria kuwa je, LAVISTA ni mtanzania au nimrundi?

Ila yeye anasema kuwa nimrudi damu baba mama.

Favicon Rapper of the year