2019-04-23  /  Waasi wa Burundi wame huunguza kwa moto basi hapo Uvira/DRC

Waasi wa Burundi wame huunguza kwa moto basi moja na piki piki katika opersheni ya wizi mashariki mwa drc katika tarafa la uvira.