2019-06-04  /  Mr Gave

Swahili grands lacs medias, ime fanya interview na msani kutoka Uvira jiji la DRC. Moja ya kazi ya msani Gave ni hihi hapa chini. Zingine una zipata kwenye Youtube. Sikiliza radio SGLM ili usikie nini analo sema.