Maskari polisi wali enda leo usiku ku choma nyumba ya ofisi kuu ya UDPS. Moto iyo ime uwa watu walio kuwa ndani ya nyumba hiyo. Na ofisi zingine mbili zime unguwa pia hapo mjini kishasa.

Favicon Ofisi kuu za chama tatu za upinzani mchini RD Congo zime hunguzwa