News Mapokezi ya SAUTI SOL nchini Burundi
Kwa shangwe na ndelemo ambazo zimewapokea wasanii maarufu ambao wanaunda kundi nzima la SAUTI SOLO zimewafanya kujisikia wamefika kwenye ulimwengu mwingine ambao ni mpya na wenye ufahari wake.
News Mapokezi ya SAUTI SOL nchini Burundi

Walipowasili leo mchana wa tarehe 21 Septemba 2017 MAjira ya saa nane wamepokelewa na ndelemo za wapiga ngoma kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Bujumbura kama unavyoona kwenye picha hapo chini.
News Mapokezi ya SAUTI SOL nchini Burundi
wamepata muda mzuri sana na wenyewe wakifurahia na kucheza na kupiga ngoma wakiwa wamejaa furaha tele .
News Mapokezi ya SAUTI SOL nchini Burundi
baada ya mapokezi uwanja wa ndege wamefika wanaenda sehemu maalaumu ambayo ilikuwa imeandaliwa kwa ajiri wamazungumzo na watangazaji na waandishi wa habari.
News Mapokezi ya SAUTI SOL nchini Burundi
kwenye mahojiano na waandishi wa habari.wamesema kwamba wamependa sana mapokezi ya Burundi na kuongezea zaidi kuwa ndiyo mapokezi ambayo ni ya kwanza na makubwa kwao ukilinganisha na nchi zingine ambazo wameshatembelea.

Nikukumbushe kwamba ujio wao wamekuja kuunga mkono maonyesho ya biashara na bidhaa ambayo yameandaliwa na jamhuri ya kenya na ubalozi wa Kenya nchini Burundi.SAUTI SOLO watapata muda muzuri wa kuwaburudisha Raia wa Burundi kwa burudani kubwa kwa sababu wameonekana kupendwa sana Nchini Burundi.

Wamepokelewa pia na wasanii wawili maarufu sana nchini.NATACHA LA NAMBA
News Mapokezi ya SAUTI SOL nchini Burundi
NA BIG FIZZO
News Mapokezi ya SAUTI SOL nchini Burundi
zaidi akiwemwo na MKURUGENZI anayeongoza SHIRIKA LA UMOJA WA WASANII NCHINI BURUNDI (AMICALE DES MUSICIENS DU BURUNDI ) kwa lugha ya Kifaransa SIMBAVIMBERE BRUNO ali maarufu kama MEMBA
News Mapokezi ya SAUTI SOL nchini Burundi

NATACHA NA BIG FIZZO ni wasanii ambao wameteuliwa kuongozana na SAUTI SOL kwa kuburudisha wananchi kwa maonyesho hayo.

Share na wengine habari hii.

Favicon News Mapokezi ya SAUTI SOL nchini Burundi