News LOLILO ageuza video yake Filamu ya actions
Msanii nguli wa BUJA FLEVA anayejulikana kama LIZZO au LOLILO A.K.A MZIZI WA JIWE,ameonyesha utofauti wake na kazi zake ambazo ashawahi kufanya toka anaanza muziki.

Msanii huyo ameibuka na style au muonekano mpya kwenye video yake mpya ya wimbo wake uliopewa jina la KABIRIBIRI.

Video hiyo ambayo imeachiwa asubuhi ya leo imeonekana kuleta gumzo na maneno mengi kwa mashabiki na wapenzi wa muziki wake kwa ujumla.
Video hiyo ambayo imetengenezwa na DIRECTOR BRIAN SMITH wa FALKON FILMZ inamuonyesha LIZZO akiwa kwenye hali ngumu ya kufukuziwa mbali na msichana ambae amejikuta kwenye mapenzi yake kisa ambacho kinampelekea hata kuaga maisha yake.

ebu kuwa wa kwanza kutazama video hiyo hapa chini.
Usisahau kushare na wengine habari hii.

Favicon News LOLILO ageuza video yake Filamu ya actions