Natacha kufanya video yake na harakati mpya
Mwanamuziki kutoka nchini burundi NATACHA LA BAMBA baada ya kuachia wimbo wake mpya wa ABARUNDIKAZI kwa sasa aamua kuufanyia video wimbo huo.

Natacha kufanya video yake na harakati mpya

kwenye shughuli nzima za kutengeneza video hiyo picha tayari zimeznza kuzaga kwenye mitanadao huku akionekana NATACHA.
Natacha kufanya video yake na harakati mpya

Kwa mjibu wa mtu wake wa karibu alisema kuwa video hiyo itakuwa kwenye hadhi nyingine na kubwa zaidi kutokana na kuwa kuna vitu vingi ambavyo vimetumika ili kukamilisha video hiyo.

Kitu kikubwa ambacho kimewashangaza watu wengu hususani wapenzi wa muziki wa BURUNDI, Ni kitendo cha kuwashirikisha wasanii wakike wenzake kama inavyoonekana kwenye picha zao kama wapo ndani ya live band
Natacha kufanya video yake na harakati mpya

Natacha kufanya video yake na harakati mpya

Natacha kufanya video yake na harakati mpya

Natacha kufanya video yake na harakati mpya

Natacha kufanya video yake na harakati mpya

Ndani ya video wameonekana kushirikishwa wasanii kama THITY LOVE,CHANY QUEEN,LINA BRANCHIE,NA DIV NICK na wengine kibao.

usisahau kuwashirikisha wengine.

Favicon Natacha kufanya video yake na harakati mpya