Natacha atoboa siri ya mpango wake wa kuachia wimbo mpya baada ya kuwasili uwanja wa ndege
Mwanamuziki kutoka Nchini Burundi anayejulikana kwa jina la NATACHA au LA NAMBA kama anavyojiita ametoboa siri yake ya mpango wakuachia wimbo wake mpya baada ya kuwasiri uwanja wa ndege wa BUJUMBURA.
Baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege hapo jana kupitia na kupokelea na baadhi ya watangazaji na wandishi wa habari ilimbidi afanye interview nao kwa kueleza mpango mzima wa safari iliyokuwa imempeleka nchini SUISSE kwa kufanya show.
Natacha atoboa siri ya mpango wake wa kuachia wimbo mpya baada ya kuwasili uwanja wa ndege
Kupitia interview hiyo alifunguka na kueleza kwa kina jinsi tamasha ilivyokuwa ghafla akajikuta anatoboa siri ya mpango wake mzima na kusema kwa Anajianda kuachia wimbo wake mpya na video hivi karibuni.
Natacha atoboa siri ya mpango wake wa kuachia wimbo mpya baada ya kuwasili uwanja wa ndege
Sikiliza interview aliyofanya na watangazaji nawaandishi wa habari akiwemo Mtangazaji na Mwandishi wa habari wa SGLM RADIO&TV

Favicon Natacha atoboa siri ya mpango wake wa kuachia wimbo mpya baada ya kuwasili uwanja wa ndege