Wimbo ambao watu wengi wanausubiria kwa hamu mno zaidi watanganzwa kuachiwa rasmi kesho ijumaa.

Management ya EAST CAMP na WAKAVU imesema kuwa tayari kila kitu kimekaa sawa na harakati za kuachia wimbo huo zishakamilika.Aliyongea hivyo kipindi anaongea na mwandishi wa SGLM.

Endelea kuwakumbusha wenzako wakae tayari kesho mapema kazi inatokea humu humu.

Favicon Mwambie by Teacher ft Master BK kuachiwa kesho ijumaa