Mvua zinazo nyesha Uganda wilayani Bundibugyo yauwa watu 12.

Image Mvua zinazo nyesha Uganda wilayani Bundibugyo yauwa watu 12

Miili ya watu hao imeogotwa na shirika la msalaba mwekundu inchi Uganda na kusema ya kuwa mvua hiyo ilikuwa kali na yenyu mafuriko makubwa.miili ya watu hao imeogotwa katika maji siku ya juma mosi. Mvua hilo kali ilipekea miundo mbinu kuharibika,kama vile barabara.

Mvua zikiendelea kunyesha katika maeneo mengi ya Afrika mashariki,watalaam wa hali ya hewa ,watoa wito kwa watu kuchukua tahadhari.

Favicon Mvua zinazo nyesha Uganda wilayani Bundibugyo yauwa watu 12