Mcmello amp Emery Sun 8211 Iyo Nari Kumenya Official Music Video
Kwa mara yake ya kwanza akiwa nchini Burundi,mwanamuziki mwenye makazi yake nchini Cnada,MAC MELLO,ameachia video ya wimbo wake IYO NARI KUMENYA aliomshirikisha mwanamuziki EMERY SUN.
nikukumbushe kuwa video hiyo imetengenezwa na Producer LANDRY SB kutoka jumba la GRAND PICTURES.

Favicon Mcmello amp Emery Sun 8211 Iyo Nari Kumenya Official Music Video