Masterland atangaza ujio wake mwingine
Baada yakujijengea headlines kubwa zaidi kwa wimbo wake wa NTUNDEKURE,Masterland ametangaza tena ujio wake mwingine.

kupitia ukurasa wake wa instagram amesema kwamba anatarajia kuachia wimbo wake mpya ambao ametaja kuwa utatoka na video kama kawaida yake.

ametaja rasmi kuwa wimbo huo utazinduliwa rasmina video yake TAREHE 09/09/2017 pande za ONE PEOPLE GASENYI.

amemaliza akiwaomba mashabiki wake kuwa wajiandae kuipokea kwa mikono miwili na kusapoti zaidi.

endelea kuitazama video ya NTUNDEKURE na uendelee kuwambia wengine tukutane tarehe hio kumuunga mkono.usisahau kulike page yetu ya facebook.

Favicon Masterland atangaza ujio wake mwingine