Mwanamuziki kutoka anayetamba kwa kibao cha MUTIMA kutoka Burundi ameamua kumweka wazi Msani mwenzake SAT B kwakitendo alicho kifanya siku ya jana kupitia ukurasa wa ke wa facebook.

Siku ya jana asubuhi mapema mwanamuziki SAT B alipost kupitia ukkurasa wake wa Facebook akiomba watu wamuombee huku sababu kubwa akidai kuwa amekutwa ana ugonjwa wa KANSA(CANCER) ambao unamuandama kwenye ubongo.

Bila kuchelewa,Masterland kutokana na moyo wa huruma aliouonyesha kwa msanii huyo.Naye kupitia ukurasa wake wa facebook aliandika akimpa ushauri kwa kina na maombi makubwa kwa mistari yenye maneno machache tu.

Hiki ndicho alichokiandika kupitia ukurasa wake wa facebook.

Masterland ampa mgongo Sat B

Baada ya masaa kadha habari zimeanza kuvuma na kuzaga kila kuna huku baadhi ya mashabiki wake wakimlilia kwa sana na kumuombea kwa Mungu zaidi.Lakini hali ilibadirika ghafla na habari zikaanza kugeuka huku zikipotoshwa na watu wengi wakisema kuwa Mwanamuziki SAT B amejitengenezea hali hiyo ya kusema kuwa anaugua KANSA(cancer) ili kujijengea jina kivingine ambacho watu wengi sikuhizi hukiita SHOW BUZZ.

Asubuhi ya leo Mwanamuziki MASTERLAND amemuzindukia jama na kumuonyea huruma kwani alichokifanya hakikuwafurahisha hata kidogo wapenzi wa muziki wa Buja fleva ,ikiweka ile hali ambayo ilimpelekea hata Mama yake na SAT B kumlilia mwanae na kumuomba arudi nyumbani mapema ili akafie nyumbani.

Masterland kupitia ukurasa wake wa facebook amemtungua SAT B na kuandika hivi:

Masterland ampa mgongo Sat B

Jameni ustar huu noma.

Usisahau kushare na wenzako kwa habari zaidi.

Favicon Masterland ampa mgongo Sat B