Yapata wapiganaji elfu mmoja na mia inne (1400)ndio wame tokomezwa na silaha 667 kukamatwa mashariki mwa Drc mnamo mwaka wa 2019,Ndivyo ya dhibitisha Jeshi ya jemuhuri ya kidemokrasia ya kongo.Wapiganaji hao walikuwa wa vikundi tofauti mashariki mwa drc.Picha Mashariki mwa DRC Jeshi la tangaza motokeo ya mapigano dhidi ya waasi mnamo mwa 2019

Sekta ya kijeshi sokola ya 2,husika na kupambana dhidi ya makundi hayo ya kijeshi ya ndani na inje ya inchi, imeweza kutowa matokeo hayo ya mapigano yaliyo endeshwa tarafani Rutshuru,masisi,walikale na Nyiragongo.

Generali meja wa jehi la drc, Bwana CELESTIN MBALA,amesema yakuwa operesheni hiyo ime punguza nguvu ya vikundi 15 vilivyo kuwa viki dhuru wanaichi mashariki mwa inchi ya drc.

Favicon Mashariki mwa DRC Jeshi la tangaza motokeo ya mapigano dhidi ya waasi mnamo mwa 2019