Hali ya usalama inaendelea kutisha ikiwa ni pamoja kuongezeka kwa mashambulizi ya makundi ya waasi katika wiki za hivi karibuni mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.

Katika mkoa wa Kivu Kaskazini, mji wa Beni ulikuwa ulikumbwa kwanza mapigano kati ya jeshi na makundi yenye silaha na kisha Rutshuru, na sasa wilaya ya Lubero inaendelea kukumbwa na mapigano hayo.

Mwishoni mwa wiki hii iliopita, mkoa wa Kivu Kusini ulikumbwa na mapigano, ambapo waasi walidhibiti vijiji kadhaa. Mapigano hayo yalisababisha vifo vya zaidi ya watu hamsinikwa mujibu wa Shirika la Msalaba Mwekundu. Miongoni mwa waliopotezamaisha katika mapigano hayo ni hasa askari wa jeshi la DR Congo na raia kadhaa. Soma zaidi: 

 

Favicon Mashambulizi ya makundi yenye silaha yaongezeka DRC