Maneno ya DJ Raphan baada ya kujipatia mtoto
Mtangazaji na mwandishi wa habari kutoka kituo cha RADIO & TV SALAMA anayetambulika kwa jina la NYANDWI RAPHAEL maarufu kama DJ RAPHAN au Mr HOME,ameamka na furaha isiyo na mfano baada ya kujipatia mtoto.
Maneno ya DJ Raphan baada ya kujipatia mtoto
kupitia ukurasa wake wa Facebook ameandika maneno yafuatayo:
.…Twari tukurindiranye igishika cinshi noneho waje kuri uyu wambere kwigenekerezo rya 13 Ruhuhuma 2017 igihe cisaha indwi nigice zijoro kaze caane #IradukundaRaphyFlora. Turashimiye Imana ko yakuduhaye kandi tukwitezeko umugisha mwinshi. Ubu Dj Rapha agiye kwitwa Papa Raphy & Christa abe Maman Raphy. Glory to God
Mtoto huyo amepokelewa kwa shangwe na ndelemo za wasanii,mashabaki na baadhi ya watangazaji kibao kutoka nchini burundi haswa wapenzi wa muziki.
Maneno ya DJ Raphan baada ya kujipatia mtoto

Favicon Maneno ya DJ Raphan baada ya kujipatia mtoto