Serekali ya Tanzania imepinga vikali maandamano y’amani yameandaliayameandaliwa na wananchi siku ya ij’mosi tarehe 26 April mwaka huu.

Kutokana na hari ilivyo kwasasa nchini Tanzania kumuonekana, kuporomikakuporomoka kwa Democrasia , Hali yamaisha kuwa duni, kutekwa na kuuwawa kwawatu kila kukicha, Kufungwa kwawatu hovyo kwakile kiitwacho uchochezi,…nk.

Maandamano hayo yameipa hofukubwa serekali ya rais Magufuli, ambapo alipokua ziarani kijijini kwake chato kwenye ufunguzi watawi la Bank CRDB. Alisikika akisema »WANAOPENDA KUANDAMANA WAJARIBU WAONA, WATAHADISIA BABA ZAO WALIO WATUMA » ilikua nikauri nzito mbere yawananchi kwakuwa imeonekana mwananchi hanahaki yakuweza kuandamana nawakati katiba ya nchi hiyo inaruhusu mwana nchi kuandama pale anapoona haki haitendeki ilivyo kikatiba.

Mandamano tarehe 26 April2018

Mwanaharakati aitwaye MANGE KIMAMBI aishie nchini Marekani ndiye amekuwa msitali wambere kwakuhamasisha watu waweze kuandamanakuandamana kwakutaka mabadiriko na katiba mpya.

Favicon Mandamano tarehe 26 April2018