Kwanini mimi Official video by Tofy feat TI D

Baada ya kuweka ahadi moja ya kuwa ataachia video kwa muda ambao si mrefu.sasa yaliyosemwa yamekuwa ukweli.
Video ya wimbo wake mwanamuziki TOFY kutoka kundi nzima la 4DH uliopewa jina la KWANINI MIMI aliomshirikisha mwanamuziki TID kutoka TANZANIA iko hewani kwa sasa.

Tazama video hio hapa.usisahau kuwashirikisha wengine kama kawaida yetu.

Favicon Kwanini mimi Official video by Tofy feat TI D