Kiongozi mmoja wa waasi wa FDLR auwawa mashariki mwa congo ya kidemocrasia.

Mmasi Kiongozi mmoja wa waasi wa FDLR auwawa mashariki mwa congo ya kidemocrasia

Jeshi la jemuhuri ya kidemocrasi ya congo lime muuwa kwa risasi Shukuru Mahigane Paulin kiongozi wa waasi wa ki hutu.Ame uwawa katika operesheni ya sokola2 mashariki mwa congo. toka tarehe disemba 11 Picha ya kiongozi huyo imeanza kuonekana kwenye mitandao ya kijaamii akiwa na kadi ya uraia wa congo.Habari za kifo chake za kamilishwa na msemaji wa jeshi sokola2 mashariki mwa congo.

Katika kipindi cha miezi mitatu sasa,tayari viongozi tano wa FDLR wameisha uwawa na jeshi la jemuhuri ya kidemocrasia ya congo,ya hakikisha duru ya jeshi la FARDC.

Chumba cha habari /

swahili media.com

Favicon Kiongozi mmoja wa waasi wa FDLR auwawa mashariki mwa congo ya kidemocrasia