Mwanamuziki KING MOSES mwenye makaazi yake Marekani ameonglea wimbo wake mpya ambao amemshirikisha Bob LUCK.

Ameambia gazeti la Swahili Grands Lacs Medias,amesema kuwa kazi hiyo ambayo imemkutanisha na Bob Luck ni kazi ambayo anaamini kuwa itafanya vizuri sana kwa kuwa ni kazi ambayo imejaa vizuri sana huku ikiwa imebatizwa jina la « I CHOSE YOU ».

Amemaliza akiwaomba mashabiki wake wawe tayari kuipokea kazi hiyo kwa muda mchache itaachiwa.

Usisahau kuwashirikisha wenzako habari hii.

Favicon King Moses aongelea kumshirikisha Bob Luck