Kwa muda mrefu watu wengi wamekuwa wakiuulizia ni ipi kazi ya mwisho ambayo Rapper MASTER BK kutoka EAST CAMP amliyoifanya na kukosa majibu.

Kama kawaida yetu unajua sisi hatukai hata kidogo kwa kukuretea majibu sahihi.

Leo hii tayari kitu nishakipata na nakiangusha hapa hapa.

Kazi ya mwisho Rapper huyo aliyoifanya inaita NTARE akimshirikisha Floris.

pakua hapa hapa bila chenga zozote.

 

Favicon Kazi ya Master BK kabla ya kukutana na Teacher NE NO