Mafuriko mchini Tanzania hapo Dar es salam. Yaani leo ni Bala.Bado swahilimedias ajipata Habari ya kuusu kifo cha mtu yeyote, lakini watu wame poteza vitu nyingi mali na nyumba zime bomoka.

Favicon Kaba 5 mwana mziki wa miondoko ya bolingo kutoka Tanzania hakitua juza kuusu mafuriko Dar es salam