Tabia ya baadhi ya wanamuziki nchini Burundi wameonekana sana kuacha kufanya kazi zao kwa utungaji wao na kujikita kwenye ishu za kufanya marudio au Remix za nyimbo za wasanii wengine huku tukiwa hatujui nini malengo yao hasa.

Baadhi ya mashabiki wa muziki wa Buja fleva wameliambia gazeti la Swahili Grands Lacs Medias kuwa tabia hiyo inatokana kuwa wanafanya hivyo kama moja ya njia za kutengeneza kiki.

Hahaha.Mi na wewe hatuna majibu sahihi.Ebu sikiliza hii kazi ya Huyu mwanadada anayetambulika kwa jina la PAM QUEEN na hii kazi yake ya SIGNORITA REMIX kisha majibu utayapata kama ni kiki au rah.

Favicon Je kiki za kufanya Remix za nyimbo za wasanii wengine zitawatoa kweli