Gaga Blue amtolea povu Zacky Classic
Baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa BUJUMBURA RAPPER GAGA BLUE anayetamba kwa kibao cha IVO IVO alichomshirikisha Rapper kutoka TANZANIA YOUNG D
Gaga Blue amtolea povu Zacky Classic
amefunguka na kusema ukweli uliokuwa umejificha nyuma ya kibao hicho ukiambatanisha na meneno ya watu fulani.

sikiliza alichokizungumza kuhusu wanaodai kuwa kacopy ngoma hiyo na majibu kwa ZACKY Classic Producer aneyesemekana kuwa ndie aliyeleta idea ya ngoma hiyo.

endelea kutazama video ya IVO IVO na kufurahia na mashabiki zaidi ukiendelea kushare nao kila kito unachokipata kutoka kwenye kurasa zetu

Favicon Gaga Blue amtolea povu Zacky Classic