Usiseme mengi. Wewe sikia kitu, weka comenti yako na u share na wenzako. Sauti hiyo sio mchezo. Enock Bella ame amuwa kutowa wimbo mpya #Kurumbembe. Ma fans wake wata furahi kuona msaani wao kutoka Bongo ambaye ana fanya kazi vizuri sana , ana waletea zawadi ingine ambaye ina jaa na utamu wa sauti Base.

[embedyt] https://www.youtube.com/watch?v=wkwvpL1R_2A[/embedyt]

Favicon Enock Bella Kurumbembe Official Audio