Watu tatu wa uliwa wakiendesha operesheni ya wizi usiku wa kuamkia siku ya inne january tarehe tisa katika mji wa uvira commune ya kavimvira.Watu hao, walikuwa wenye kushikilia silaha ambao walikuwa tayari wame faulu kutembelea nyumba 2 za waakazi na kupeleka vitu vyao.Kupitia kelele za wahanga,raia waliamka na kufuatilia wedhi hao.Walipo anguka mikononi mwa raia,kwa hasira kali,raia wali tumia mawe pamoja na fimbo ili kuwa malizia maisha.

Kiongozi wa shirika la kiraia kusini mwa kivu ya kusini,Bwana Andre Byadunia ,ame zungumuza na swahili grands lacs medias ,kucha hasubui na kudhibitisha ya kuwa<>.

Upande mwengine, kamanda wa polisi katika wa uvira ,ana tupilia mbali shutma hizo, na kusema ya kuwa ,walio uliwa si askari jeshi ao polisi bali wote ni raia.

Njiani mwa simu ,swahili grands lacs medias imezungumuza na chumba cha habari cha kijeshi katika mji wa uvira,cha dhibitisha ya kuwa walio uliwa katika operesheni ya wizi ni mwana jeshi mmoja wa batayoni ya kijeshi inayo patikana uvira,askari polisi pamoja na raia.

Andre Byadunia aomba vyombo vya usalama kuingilia kati mambo hayo ili raia waishi kwa usalama katika mji na tarafani uvira, maeneo ambao raia waishi kwa wasisi kutokana na usalama kuwa mdongo.Mwishowe, ameiomba serekali ya jemuhuri ya kidemokrasia ya congo kuleta ajira kwa vijana na kuwalipa aksari jeshi na polisi mshahara mnono.

Favicon DRC UVIRA Watu tatu wauliwa wakiendesha operesheni ya wizi