Shirika jipya la kiraia la andaa mgomo baridi mnamo januari 23 katika eneo la uvira ,wa kipinga inchi ku tawaliwa na wageni.Andre Byadunia Kiongozi wa shirika jipya la kiraia aliambia swahili grands lacs medias yakuwa »Hatuja sikia hata raia mmoja ambae yuko tayari kwamba inchi ya drc igawanyike .Hiyo ni sababu mmoja wapo Sisi hatu tumii msemo wa inchi kugawanyika kama wanavyo sema wana siasa na watu wengine.Sisi tuna sema tuna kataa inchi kupelekwa na kumilikiwa na wageni ».Andre Byadunia asema ya kuwa,maandamano mengi tayari yame fanyika huku taarifa hazifikii walengwa kwa haraka »Siku hiyo hakuta kuwa shuguli yeyote ya kikazi itakayo fanyika kuanzia hasubui mapema hadi mchana.Hakuna gari itakayo safiri kuelekea Burundi ao kupita Rwanda kuelekea Bukavu.inchi hizo mbili hazita ingiza chochote katika mfuko wa serekali yao.Kupitia hiyo,watapata taarifa ya kuwa raia wa Uvira wamegoma wakipinga inchi yao kumilikiwa na wageni ».
Kiongozi huyu wa shirika la kiraia kusini mwa kivu ya kusini aomba raia kutekeleza mpango huo. Ifaamike kwamba siku zilizo pita Rais wa jemuhuri ya kidemokrasia ya kongo Felix Kisekedi ,ali kanusha na kusema yakuwa kabla ata kuwa ana salia madarakani,hatakubali inchi kugawanyika.SHIRIKA LA KIRAIA 1 DRC Uvira Mgomo wa kupinga inchi kugawanyika waandaliwa na shirika jipya la kiraia

Favicon DRC Uvira Mgomo wa kupinga inchi kugawanyika waandaliwa na shirika jipya la kiraia