Shambulizi la ki vita la ripotiwa kati ya mai-mai na waasi wa Gumino katika njaja za juu na kati ya milima ya uvira kivu kusini.Kiongozi wa shirika la kirai alitaja ya kuwa kuna maafa katika shambulizi hilo la kivita pande la gumino.Aki zungumuza na wenzetu wa 7SUR7.CD,Andre Byadunia kiongozi wa shirika la kiraia kivu kusini alisema<< Mapigano hayo yafanyika jumapili tarehe tano pa Masango kwenye milima inayo inukia uvira.Waasi wa Gumino,walikuwa wanalenga kuelekea kijiji cha Rurambo.Mapigano hayo,yapelekea kumi kufariki na kumi na sita kati yao kujeruhiwa. Kiongozi huyu wa shirika la kirai ,Andre Byadunia asema ya kuwa <>
Msemaji wa jeshi kivu kusini,Dieudonné KASEREKA,ame dhibitisha kufanyika kwa shambulizi hilo la kivita katika maeneo hayo.na kusema ya kuwa ataaendele kutujuza kinacho jiri katika.

Favicon DRC Uvira Mai Mai na wapiganaji wa gumino washambuliana ki vita