“DRC tayari Kugawanyika kwa pasenti 70,
Rais wa sasa Félix Tshisekedi anaendeleza kazi ya mtangulizi wake Joseph Kabila”.Ni masemi yake mgombea wa dhamani kwenye urais inchini drc,Martin Fayulu.Habari zinazo kamilishwa kwenye mtandao wa La libre Afrique.January 17 aliendesha maandamano akipinga inchi kugawamyika.Mashtaka yake yote yatupiliwa mbali na Umoja wa Mataifa pamoja na inchi ya Rwanda.
MARTIN FAYULU DRC Masemi ya Martin Fayulu yazuwa hofu

Favicon DRC Masemi ya Martin Fayulu yazuwa hofu