T l chargement DRC ITURI Watu wanne wauliwa kwa risasi tarafani Djugu
Watu wanne wameuliwa hasubui ya disemba tarehe tatu katika kijiji cha Adye tarafani djugu mashariki mwa congo.Wapiganaji wa CODECO wa shutumiwa kuendesha mauwaji hao.
Kiongozi wa shirika la kiraia CHARITE BANZA , amesema ya kuwa wapiganaji wa CODECO wali tumia silaha za moto kwa ku wauwa watu hao.Watu hao inne, walikuwa wakitokea katika kijiji cha Bule wakielekea kutafuta chakula katika kijiji chao.Piki piki mbili zilizo kuwa ziki wa safirisha zili pelekwa pia.
Ifaamike kwamba,shambulizi hili laendeshwa siku mbili baada ya sheji la congo FARDC kuendesha mapigano dhidi ya kundi la wapiganaji wa CODECO na kukamata 7 kati yao pamoja na silaha mmoja.

Favicon DRC ITURI Watu wanne wauliwa kwa risasi tarafani Djugu