1579402958382 watoto Drc Ituri Wahamiaji 3200 wako katika dhiki

Takriban watu 3,200 waliohama makazi yao kutokana na ukatili wa eneo la Djugu kwenye eneo la Tsere, kwenye kilomita 10 kusini magharibi mwa kituo cha mji wa Bunia katika tarafa la Ituri, wanajikuta katika dhiki hadi leo kwa sababu ya ukosefu wa chakula. Taarifa hii yatolewa Jumamosi hii, Januari 18, 2020 na Claude Rutuka, meneja wa kambi ya wahamiaji. Kulingana na yeye, hali hii tayari imesababisha hathari , watoto wawili walipoteza maisha kwa jaa Jumanne Januari 14 na Jumatano Januari 15, 2020 . « Hatujui tena nini cha kufanya kwa kuwalisha hawa watu walio katika mazingira hatari. Mashirika za kibinadamu hazi tupi chakula,ikiwa ni miezi misita sasa. wanawake na watoto tayari wanaonyesha dalili ya lishe duni, « alisema. Kwa hivyo anatoa wito kwa watu wa nia njema kuwasaidia watu hawa waliotengwa makazi yao ili kuepusha hatari dhidi ya maisha yao.

Favicon Drc Ituri Wahamiaji 3200 wako katika dhiki