Papa na felix DRC Felix kisekedi afurahishwa kukutana na Papa Francis

Rais wa drc Felix Kisekedi,amezungumza na Papa Francis Ijumaa Januari 17, 2020 huko Vatikani.Raisi wa inchi ya Drc alisema, ku furahishwa kukutana na mtu mwenye kuifahamu hali iliyopo inchini Drc.

« Nilikutana na mtu maarufu ambaye ana ufahamu kamili wa nchi yetu na anayefuata kwa karibu hali ya kisiasa na ya kijamii, » Félix Tshisekedi katika mahojiano na waandishi wa habari wa redio vatikani, ameelezea hamu ya kuona Mfalme Pontiff akifanya ziara katika inchi ya Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo mnamo mwaka wa 2021, mwaka ambao yeye ana tarajia ku simamia Umoja wa Afrika.
Itakumbukwa kuwa hii ni Ziara ya pili ya Félix Tshisekedi kwenda Vatikani tangu kuingia kwake madarakani mnamo Januari 2019.

 
Favicon DRC Felix kisekedi afurahishwa kukutana na Papa Francis