Chama DRC Chama cha kisiasa ECIDE chake Martin Fayule chaandamana

Wanamemba wa chama cha kisiasa ECIDE chake mpinzani Martin fayulu, kime andaa maandamano katika inchi nzima ya Drc junuari 17.Maandamano hayo haya kuruhusiwa kuendeshwa ila wao walisema hakuna yeyote anayeweza kuwaziwia.Katika purukushani na vyombo vya usalama,waandamanaji wanasema walifikia malengo »Lengo letu ilikuwa kufikisha ujumbe wetu,tumeanza toka hasubui tukiwa na mabango yenye ujumbe:Tuna kataa kugawanyika kwa inchi ya drc,tuna pinga mauwaji yanayo fanyika mashariki na kusini mwa kivu ».

Favicon DRC Chama cha kisiasa ECIDE chake Martin Fayule chaandamana