Mwanamuziki wa kizazi kipya kutoka nchini Burundi anaetambulika kwa jina la MSAMARIA DANIELO akiwa ni mmoja kati ya Wakali kutoka label nzima ya WAKAVU ameachia wimbo wake mpya baada ya kujipatia tunzo kubwa la IZERE AWARDS na kujijengea headlines kubwa kimuziki.

Nafasi ni yako kwa sasa
kuwa wa kwanza kujipakulia huo WA MSAMARIA DANIELO uliopewa jina la NDOA YANGU ukiwa umetengenezwa na producer MAPOUND kutoka IVO IVO MUSIC

Favicon DOWNLOAD I NDOA YANGU BY MSAMARIA DANIELO I NEW AUDIO