Mgombea u Rais wa marekani,Trump ali jihelekeza kwenye kabisa la watu weusi hapo Detroit. Ndani ya kanisa Donald J Trump ali wa akikisha kwamba ata geuza mambo.Ata fanya kila kiwezekanavyo ili watu wa some kwenye shule nzuri na wa pate kazi. Mambo ya ukabila itupiliwe mbali. kwani upendo wa Mungu uko ndani ya kila mtu. Tupendane.

Favicon Donald Trup akiwa ndani ya kabisa ya watu weusi ana cheza