Search in the website:

TODAY KWETU

Today Kwetu na SWAIBA FOR REAL(Exclusive Interview)

29 janvier 2017

Sikiliza kipindi TODAY KWETU ambacho kimekukutanisha na MWANAMUZIKI anaetambulika kwa jina la SWAIBA FOR REAL kwenye exclusive Interview tuliofanya nae.Ikiwa na wewe pia ni mwanamuziki unataka kutangaza kazi zako usikose kuwasiliana na sisi kwenda nambari +257 75 49 72 58

Read More

Today kwetu na MAGIC SOLDIER & Pouson wakiongelea kuhusu wimbo wa CHANGES

28 octobre 2016

Sikiliza kipindi Today kwetu,MAGIC SOLDIER na POUSON (BURAMATARI) wakiongelea wimbo uliowakusanyisha Rappers karibu kumi unaobeba jina la CHANGES.

Read More

Utambulisho wa TODAY KWETU na Adrian Lavista

24 octobre 2016

Hatimae kipindi ambacho wengi mlikuwa mkikisubiria kwa hamu tele karibuni kitaanza kusikikia bila chenga zozote. Mwendeshaji wa kipindi hicho Adrian LAVISTA ¬†ameambia SGLM kuwa tayari kazi itaanza kufanyika siku chache zisizo zindi hata tatu. Amemaliza akiwaomba wapenzi wa maendeleo hasa kupitia sanaa yoyote ile kuanza kuwajibika ili kuinua uwezo wao na kuutangaza zaidi kimataifa. Kipindi […]

Read More

introLavista

24 octobre 2016

Read More

Share
Share