Search in the website:

Teknolojia

Samsung »yasimamisha kutengeneza Galaxy Note 7 »

10 octobre 2016

Kampuni kubwa ya kutengeza simu aina ya smartphone Samsung,imeroptiwa kusitisha utengezaji wa simu aina ya Galaxy Note 7 kufuatia madai kwamba simu mpya zilizotengezwa kuchyukua mahala pa zile zilizo na matatizo ya betri pia zina matatizo. Vyombo vya habari vya Reuters na kile cha Yonhap kutoka Korea kusini vimewanukuu baadhi ya maafisa ambao hawakutajwa majina […]

Read More

Virus ambayo ime tawanyika kwenye FACEBOOk

3 octobre 2016

Mki hona message hii kwenye facebook ku pitia mesanger msi funguwe kwani ni virus.

Read More

Darubini kubwa duniani yaanzishwa na CHINA

26 septembre 2016

China imeanzisha Jumapili hii darubini kubwa duniani katika mkoa wa Guizhou, kusini magharibi mwa nchi hiyo. Kikiwa na mduara wa mita 500, chombo hiki cha uangalizi kitaweza kunasa ihara mbalimbali katika pembe zilizo mbali sana ulimwenguni. Beijing ina matumaini kuwa ina uwezo wa kupata dalili za maisha yaliyo mbali na satari ya dunia. Darubini hii […]

Read More

Lawama za watumiaji wa Progamu ya Windows 10

22 septembre 2016

  Kampuni ya Microsoft imeshtumiwa na kundi la haki za wateja la Consumer Rights dhidi ya programu yake ya Windows 10. Kundi hilo limesema limepokea mamia ya malalamishi kuhusiana na uboreshaji wa programu hiyo . Watumiaji wa programu hiyo wanalazimika kulipia komputa zao ili zirekebishwa kutokana na faili kupotea. Hatahivyo Microsoft ilitetea programu hiyo ya […]

Read More

Pata computer mzima dani ya Flash

8 septembre 2016

Ukipenda ku angalia ma email, kwenda kwenye youTUBE au ku pata office juu ya kuandika ma documents kampuni ya ASUS ina tuletea computer ndogo ambayo bei niĀ 120$ na computer hinatwa Chromebit.  

Read More

Share
Share