Search in the website:

HABARI ZA WASANII

PAPII KOCHA AAPA MAKUBWA KATIKA MUZIKI WA DANSI

29 janvier 2018

NA musa pepo dar es salaam mwanamuziki wa dansi nchini papii kocha ametamba kuurudisha muziki wa dansi ambao yeye anauona kwa sasa umepotea  mwanamuziki huyo ambaye alitamba miaka ya 2000 kwa nyimbo za seya,visa vya baba mkwe,fanta na salima

Read More

Swahili media |Sheebah Karungi amtimizia Ahadi NATACHA|TODAY UPDATE

16 Décembre 2017

Baada ya ile ahadi kubwa SHEEBAH KARUNGI mwanamuziki kutoka UGANDA aliyoiweka kwake NATACHA LA NAMBA kupitia wimbo wao uliowakutanisha wakali hao wa kibao cha WANGU.Sasa siyo stori tena. Ahadi ambayo SHEEBAH KARUNGI aliiweka kwa NATACHA ni ahadi ya kuweka wimbo wao uliowakutanisha wawili hao kwenye ALBUM yake ambayo anatarajia kuiachia hivi karibuni TAREHE 21 DISEMBA,2017 […]

Read More

Swahilimedia │Jina la Irungu wimbo wake Titus Da Sailor laleta utata kwa mashabiki

26 octobre 2017

Baada ya kuachia wimbo wake wa IRUNGU wimbo wake MWANAMUZIKI CHIPUKIZI TITUS DA SAILOR,sasa utata na gumzo nyingi vimeanza kwa mashabiki na wapenzi wa kibao hicho. Ishu nzima ilianza wakati mwanamuziki huyo akiutambulisha wimbo wake,ambapo watu wengi hasa watangazaji ambao walikuwa wamealikwa kwenye utambulishio huo walionekana kutoa maoni yao zaidi wakipendelea kuwa wimbo huo ungepewa […]

Read More

Swahilimedia │Wimbo wa Wangu by Natacha feat.Shebbah watarajiwa kuimbwa Coke Studio Africa

26 octobre 2017

Baada ya kuwa wimbo wa WANGU wa kwake NATACHA akimshirikisha SHEBBAH wa UGANDA kuachiwa nje na kupokelewa kwa shangwe kubwa na sapoti nyingi sana. Sasa wimbo huo unatarajiwa kuimba COKE STUDIO AFRICA na SHEBBAH. Kwa mjibu wa Mwanahabari wa NATACHA ,DJ RAPHAN amesema kwamba tayari washaweka makubaliano na SHEBBAH kuwa wimbo huo utaibwa kwenye show […]

Read More

Swahilimedia│Natacha avunja rikodi kwa comments baada ya kuachia wimbo wake mpya

23 octobre 2017

Mitandaoni leo imekuwa poa sana baada ya wana NGM kusema kwamba mitandaoni siyo poa,ila yote tisa leo ni poa. Baada ya masaa kama manne wimbo WANGU BY NATACHA FEAT. SHEBBAH kuachiwa rasmi na kuwekwa kwenye CHANNEL YA YOUTUBE YA NATACHA BURUNDI,zimeamka comments nyingi kibao za mashabiki zaidi wakionyesha kuikubali kazi hiyo. Sikiliza na Soma hapa […]

Read More

Swahili media │Wafahamu washindi wote wa AFRIMMA AWARDS 2017│Today Update

9 octobre 2017

Ugawaji wa tuzo za Africa Muzik Magazine Awards & Music Festival (AFRIMMA) umefanyika alfajiri ya leo nchini Marekani katika jiji la Dallas Texas, huku mstaa kama Diamond Platnumz, Victoria Kimani, C4pedro, Tiwa Savage na wengine wakiibuka vinara wa tuzo hizo. 1│Best Male West Africa – Falz (Nigeria) 2│Best Female West Africa – Tiwa Savage (Nigeria) […]

Read More

Swahilimedia │Masterland atangaza wimbo wake wa ALIMA kuwa hit song│Today update

4 octobre 2017

moja kati ya habari zinazotrend kwenye mitandao ya kijamii hizi siku ni hii ya mwanamuziki kutoka Nchini Burundi anayetambulika kwa jina la MASTERLAND kutangaza kuwa wimbo wake wa ALIMA wimbo ambao umetoka na video yake kuwa HIT SONG. Harakati hizo zimeibuka wakati wa show iliyofanyika mkoani GITEGA show ambayo ilikuwa imeandaliwa na msanii kutoka mkoani […]

Read More

swahilimedias│masterland-awaondoa-mashaka-mashabiki-wake

26 septembre 2017

Baada ya ahadi nyingi zisizotimia,ila kwa sasa siyo maneno na misemo pia. Mwanamuziki anayetamba kwa style ya KIZOMBA MASTERLAND,baada yakuweka ahadi nyingi bila kutekeleza sasa amejikwamua na kuiachia video ambayo ilikuwa imewapa mashaka mashabiki wa muziki wake na wale ambao hufuatilia karibu muziki mzima wa buja fleva. Nikukumbushe kuwa maneno yote yalianza baada ya kufanya […]

Read More

News│LOLILO ageuza video yake Filamu ya actions

22 septembre 2017

Msanii nguli wa BUJA FLEVA anayejulikana kama LIZZO au LOLILO A.K.A MZIZI WA JIWE,ameonyesha utofauti wake na kazi zake ambazo ashawahi kufanya toka anaanza muziki. Msanii huyo ameibuka na style au muonekano mpya kwenye video yake mpya ya wimbo wake uliopewa jina la KABIRIBIRI. Video hiyo ambayo imeachiwa asubuhi ya leo imeonekana kuleta gumzo na […]

Read More

News│Mapokezi ya SAUTI SOL nchini Burundi

21 septembre 2017

Kwa shangwe na ndelemo ambazo zimewapokea wasanii maarufu ambao wanaunda kundi nzima la SAUTI SOLO zimewafanya kujisikia wamefika kwenye ulimwengu mwingine ambao ni mpya na wenye ufahari wake. Walipowasili leo mchana wa tarehe 21 Septemba 2017 MAjira ya saa nane wamepokelewa na ndelemo za wapiga ngoma kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Bujumbura kama […]

Read More

Load more

Share
Share