Search in the website:

HABARI ZA SPORT

Fifa kuongeza timu zitakazoshiriki kombe la dunia kufikia 48

4 octobre 2016

Rais wa Fifa Gianni Infantino ameshauri kuongezwa wa timu zinazoshiriki kombe la dunia na kufikia 48 zaidi ya ahadi yake aliyoitoa wakati akiwania nafasi hiyo kuwa atafikisha timu 40. Anashauri kuwa timu 16 kati ya zote zitatolewa katika hatua ya awali kabisa. Kisha kubaki 32 zitakazoendelea katika makundi baada ya hatua ya mtoano kukamilika. Infantino […]

Read More

Rigobert Song apata fahamu

4 octobre 2016

Aliyekuwa nahodha wa kikosi cha soka nchini Cameroon Rogobert Song hatimaye amepata fahamu ,kulingana na mamlaka. Beki huyo wa zamani wa timu ya Liverpool na West Ham sasa ameanza kupumua bila ya usaidizi ,siku mbili baada ya kukimbizwa hospitalini akiwa katika hali mahututi. Song mwenye umri wa miaka 40 alilazwa katika hospitali ya Younde siku […]

Read More

FIFA:Uamuzi wa kupambana na ubaguzi wa rangi ni sahihi

27 septembre 2016

FIFA imetetea uamuzi wake wa jitihada za kupambana na ubaguzi wa rangi ,na ukosoaji unaotaka wa kukwamisha jitihada hizo ni wakutia aibu. Kikosi cha FIFA cha kupambana na ubaguzi wa rangi na udhalilishaji kiliundwa mwaka 2013 kutengeneza mikakati ya kutatua tatizo hilo. Katibu Mkuu wa Fifa Fatma Samba Diof Samoura alisema kuwa timu hiyo ilikuwa […]

Read More

Timu ya taifa ya wanawake ya Tanzania yatwaa taji la Cecafa, yaweka historia

20 septembre 2016

Timu ya taifa ya wanawake ya Tanzania, Taifa Queens imekuwa timu ya kwanza kutwaa taji la michuano ya soka inayosimamiwa na baraza la vyama vya soka Afrika Mashariki na Katim CECAFA. Michuano ya mwaka huu ambayo ilikuwa ni ya kwanza kufanyika, imeshuhudia wawakilishi wa Kenya, Harambee Starlets ambao watauwakilisha ukanda wa Afrika Mashariki kwenye michuano […]

Read More

Nicolas Anelka ana tafufa kufanya vita na Lilian Thuram

7 septembre 2016

Kupitia facebook yake, Nicolas Anelka ana chokoza Lilian Thuram aki mliganisha na mtumwa wa ndani wa wazungu. Ukihona movie ya « Django Unchained » uta helewa hali yake na kazi ambayo ana fanya mtumwa (slave) huyo « Stephen ». Soma zaidi habari hii kwenye website hii

Read More

Share
Share